Charge controller Umuhimu wake hasa ni kuratibu hali ya umeme unaotoka kwenye Solar Panel usizidi # kiwango kinachotakiwa kujaza Battery (betri).
Charge Control pia kazi yake kuratibu Umeme unaotoka kwenye Battery (Betri) usitumike chini ya kiwango kilichokusudiwa(kwani kila betri ina viwango vyake vya kuingiza umeme na kuijaza pamoja na kiwango cha mwisho kutumika) viwango ivyo hufafanuliwa na mtengenezaji wa betri katika kila aina ya kampuni ya betri.
# Ukiangalia kwenye Battery ubavuni au juu utaona na maelezo kuhusiana na hilo battery.
# MADHARA YA KUTUMIA SOLAR BILA CHARGE CONTROL
Madhara ya kutokuwa na charger controller ni Betri kuchajiwa sana (Yaani Battery kuchajiwa muda wote) na kutumika sana kitendo kinachosababisha kudhoofisha uhai wa betri yako...
# USHAURI
Kwa wale ambao wana Solar Panel kuanzia 50Watts basi ni # Vyema ukafunga na Charge Control kuanzia 6A-10A.
Ahsante....
Post a Comment