USHAURI : Kwa nini mita yangu inakataa kuingiza umeme?


Wakati unaingiza umeme kwenye mita yako soma nini kinaonekana kwenye mita mfano reject, used, error 77 kisha toa taarifa kwenye ofisi ya eneo lako,au kwenye mitandao yetu ya kijamii kwa kuonyesha namba ya mita na eneo lako utapatiwa maelezo ya tatizo husika na jinsi ya kulitatua.

Post a Comment

Previous Post Next Post